Lucy Wache

U’socialite’ Ni Nini?

Wache halfshot studio pose

Nimeamua kuipaza , hii mbiu ya mgambo; Nashindwa kunyamaza, lanikera hili jambo; Nawazua nikiwaza, fumbueni hili fumbo; U’socialite’ ni nini? Nimwelezeje wangu binti? Naomba usaidizi, kuielewa hii kazi; Shahada yao ni ipi, yapatikana chuo kipi? Masomo yao ni yepi, n’elezeni (tu) kwa ufupi; U’socialite’ ni nini? Nimwelezeje wangu binti?

Published
Categorized as Shairi

Kiswahili Lugha Tamu

kiswahili lugha tamu

Kiswahili lugha yangu, tamu kuliko zote; Nilofunzwa na mamangu, nilipoanza kumwaga nyute; Yavutia moyo wangu, naisifu kote kote; Kiswahili lugha tamu, asali mtoto wake. Napenda zako hadithi, na yako mashairi; Mafumbo, methali, navyo vitendawili; Ungekuwa chanda changu, ningalikuvika pete; Wakujue walimwengu, watake wasitake; Wewe si tam’-chungu, bali kipenda mate; Kiswahili lugha tamu, asali mtoto wake.

Published
Categorized as Shairi

Empty Eyes

Empty Eyes poem image

Something died. I know. Something died coz The spark That made her eyes glow Is no more. She’s stuck! In a loveless union Stuck Feeling used and abused Stuck! Disillusion her companion Stuck! With nowhere to go!

Published
Categorized as Poetry

Country Girl

I love the countryside, it’s true!It shaped all I think and do.And when I need to dream a new;That’s the place I run to! So I did miles to school on foot;As there was none in the neighborhoodI fetched the water and the wood;With my pot on three stones, I cooked the food. You see…I… Continue reading Country Girl

Published
Categorized as Poetry